Booklyst Bobea Katika Kiswahili Grade 5 (Rationalised)

KSh 744.00
0 reviews
26 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
12 - 14 Feb, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Booklyst Bobea Katika Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi – Gredi ya 5 ni kitabu kipya na kina cha Kiswahili kilichoandaliwa kwa ustadi ili kukidhi mahitaji ya Mtaala Mpya wa Kiumilisi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo maalum na wa kipekee unaofaa kwa mwanafunzi wa Gredi ya Tano, kikiwapa wanafunzi fursa ya kujenga umilisi wa msingi kupitia shughuli za kuvutia na za kimtindo. Kimeundwa kwa njia inayowasaidia wanafunzi kuelewa dhana mbalimbali za lugha kwa urahisi na kuwawezesha kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira yao ya kila siku.

Vipengee na Faula Mkuu:

  • Shughuli Nyingi za Kiumilisi: Zinazowafanya wanafunzi kushiriki kikamilifu na kuelewa dhana kwa wepesi.

  • Muhtasari wa Mafunzo: Unayowapa wanafunzi kumbukumbu ya yale waliyosoma na kuwasaidia kukariri na kukumbuka muhimu.

  • Lugha Sahili na Faafu: Iandikwe kwa lugha rahisi inayofaa kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Tano.

  • Mifano Mbalimbali: Inayowasaidia wanafunzi kuelewa dhana za lugha kwa urahis na kuzitumia katika mazingira halisi.

  • Picha za Kuvutia: Zinazowapa mwelekeo wakati wa ujifunzaji na kuongeza uelewa wa masomo.

  • Maswali ya Kujitathmini: Yanayowasaidia wanafunzi kupima uelewa wao na kujua maeneo wanayohitaji kuboresha.

Fikia kilele cha ustadi wa lugha ya Kiswahili kwa nyenzo bora za kielimu. Nunua Bobea Katika Kiswahili Gredi ya 5 sasa kutoka Riki Bookshop – huduma haraka na bora nchini Kenya!

ISBN: 9789914510720

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare