Booklyst Bobea Kiswahili Gredi ya 3 (Rationalised)

KSh 629.00
0 reviews
27 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
26 - 28 Feb, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Bobea Kiswahili Gredi ya Tatu ni kitabu kipya katika Mtaala Mpya wa Kiumilisi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo maalum ambao ni mwafaka kwa mwanafunzi wa Gredi ya Tatu na watumizi wengine.

Vipengele Muhimu:

  • Shughuli za Kiumilisi: Ina shughuli nyingi za kiumilisi na utendaji zinazomfanya mwanafunzi kuelewa dhana mbalimbali za lugha kwa wepesi na urahisi.

  • Muhtasari wa Mafunzo: Yanampa mwanafunzi kumbukumbu ya yale aliyosoma, yakimsaidia kukariri na kukumbua ujumbe muhimu wa somo.

  • Lugha Sahili na Faafu: Tumia lugha sahili na faafu inayofaa kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Tatu kwa uelewa bora.

  • Mifano Mbalimbali: Toa mifano mbalimbali inayomsaidia mwanafunzi kuelewa dhana za kiswahili kwa wepesi na kuyatumia katika mazingira halisi.

  • Maswali ya Kujitathmini: Kina maswali ya kujitathmini yanayomwezesha mwanafunzi kupima kiwango chake cha uelewa na maendeleo yake katika kujifunza.

Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye uzoefu mkubwa na kinaandamana na Mwongozo wa Mwalimu.

ISBN: 9789914510621

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare