Booklyst Bobea Kiswahili Grade 4 (Rationalised)

KSh 699.00
0 reviews
26 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
11 - 13 Apr, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Bobea Kiswahili Gredi ya Nne ni kitabu kipya katika Mtaala Mpya wa Kiumilisi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo maalum ambao ni mwafaka kwa mwanafunzi wa Gredi ya Nne na watumizi wengine.

Vipengele Muhimu:

  • Shughuli za Kiumilisi: Shughuli nyingi za kiumilisi na utendaji zinazomfanya mwanafunzi kuelewa dhana mbalimbali kwa wepesi.

  • Muhtasari wa Mafunzo: Muhtasari wa mafunzo ambayo yanampa mwanafunzi kumbukumbu ya yale aliyosoma.

  • Lugha Sahili na Faafu: Matumizi ya lugha sahili na faafu inayofaa kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Nne.

  • Mifano Mbalimbali: Matumizi ya mifano mbalimbali inayomsaidia mwanafunzi kuelewa dhana kwa wepesi.

  • Maswali ya Kujitathmini: Maswali ya kujitathmini na picha za kuvutia zinazompa mwanafunzi mwelekeo wakati wa ujifunzaji.

Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye uzoefu na kinaandamana na Mwongozo wa Mwalimu.

ISBN: 9789914510706

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare