Chunga Adabu Yako PP2 (Storymoja)

KSh 419.00
0 reviews
30 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
14 - 16 Feb, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Chunga Adabu Yako PP2 (Storymoja) ni kitabu bora kwa watoto wa Pre-Primary 2 (PP2) kinacholenga kuwafundisha adabu na maadili mema wakiwa bado wadogo. Kitabu hiki hutumia hadithi fupi na shughuli rahisi kuwasaidia watoto kuelewa na kutumia maneno ya adabu kila siku.

Mfundishe mtoto wako njia nzuri ya kuishi na wenzake katika jamii akiwa mwenye umri mdogo, ili tabia njema iwe mwenendo wa kudumu maishani mwake. Tumia maneno ya upole kwa mtoto wako na umweleze kwamba hayo ni maneno ya adabu. Mhimize kutumia maneno kama: habari ya asubuhi, tafadhali, pole, asante, samahani, uwe na siku njema, afya, kwaheri, na usiku mwema.

ISBN: 9789966066107 

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare