Distinction Kipeo Cha Kiswahili Grade 1 (Rationalised)

KSh 629.00
0 reviews
26 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
13 - 15 Mar, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Distinction Kipeo cha Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Kwanza ni kitabu kilichoundwa kwa somo la Kiswahili kwa darasa la kwanza. Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na mtaala wa umilisi, na kilitengenezwa kwa lugha nyepesi na rahisi ili mwanafunzi aweze kuelewa kwa urahisi. Mpangilio wa sura, mada ndogondogo, na shughuli umefanywa kwa njia rahisi inayorahisisha matumizi ya kitabu.

Kitabu hiki kimeandikwa na walimu wenye weledi na uzoefu mkubwa katika ufunzaji wa Kiswahili, na kinasaidia mwanafunzi kukuza stadi za lugha, umilisi, na maadili kwa njia yenye tija.

ISBN: 9789914470369

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare