EAEP Akili Pevu Kiswahili Angaza Grade 2 (Rationalised)

KSh 927.00
0 reviews
27 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
25 - 27 Feb, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Akili Pevu – Kiswahili Angaza Shughuli za Kiswahili, Grade 2 ni kitabu cha mwanafunzi kilichoandaliwa kwa mtindo wa Competency-Based Curriculum (CBC), kikilenga kukuza umilisi wa kimasomo kwa wanafunzi wa Gredi ya 2. Kitabu hiki kinasaidia mwanafunzi kujifunza Kiswahili kwa urahisi, huku mwalimu akiwa mwelekezi badala ya mtoaji wa elimu pekee.

Sifa kuu:

  • Kina shughuli mbalimbali za kusoma, kuandika, na kufikiria kwa mwanafunzi akiwa peke yake, wawili wawili au katika makundi.

  • Kinaangazia ufahamu wa picha, hali na matukio kwa majadiliano ya wanafunzi.

  • Kina stadi za kuchanganua, kutambua, kubainisha, kujenga na kuhakiki.

  • Kina lugha rahisi na misamiati isiyo magumu kwa mwanafunzi wa Gredi 2.

  • Kinahusisha mwanafunzi, mwalimu, mzazi na jamii katika shughuli za kitabu.

  • Kina aina mbalimbali za shughuli: Darasa, Kibinafsi, Makundi, Wawili wawili, Nyumbani, Nje ya darasa, Mseto, Ziada, na Utafiti.

ISBN: 9789966568250

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare