Mchezo wa Mtelezo na hadithi nyingine (Queenex)

KSh 288.00
0 reviews
22 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
10 - 12 Feb, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Mchezo wa Mtelezo na hadithi nyingine

Katika Mchezo wa Mtelezo, Mwalimu mkuu anawashauri wanafunzi kwenda nyumbani mapema kwani shule yao itatumiwa kugawa chakula cha msaada. Hata hivyo, baadhi ya wanafunzi wanakiuka ushauri huo. Wanajiingiza katika mchezo wa mtelezo kwa muda mrefu. Hawajali athari za kushindana na kutumbukia majini.

Mvua kubwa inapoanza kunyesha, inawalazimu wanafunzi hao kutafuta mahala pa kujikinga. Masaibu yao yanachacha wanapojikuta mikononi mwa mwalimu mkuu.

Soma hadithi hii ya kusisimua ujifahamishe adhabu wanayopata.

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare