Ninanusa (Storymoja) – Uthamini wa Kutambua Mambo (PP1–PP2)

Description
Ninanusa ni kitabu cha hadithi kilichoundwa kwa watoto wa PP1–PP2 kinachotumia maneno mepesi na ya umri unaofaa kusaidia watoto kujifunza kusoma na kuimarisha kiwago cha msamiati. Kitabu kinafuata mpangilio wa maneno yenye silabi moja hadi tano, kuanzia maneno rahisi kama wa, ya, nina hadi maneno tata kama iliyo katwa, ninafungua.
Viwango vya Usomaji:
-
Mwibuko (A–C): Kuunganisha maneno na picha, kutambua herufi na nambari.
-
Mwanzo (D–F): Kukumbuka maneno, kuelewa hadithi kwa kutumia picha.
-
Mpito (G–H): Kusoma kwa ufasaha, kuigiza hadithi, kufurahia mitindo ya picha.
-
Kati (I–J): Kusoma bila msaada, kuelewa hadithi zenye ujumbe tata.
-
Msomaji Mahiri (K–L): Kusoma hadithi za sura chache, hadithi za kiwango cha juu.
ISBN: 9789966620972










