One Planet KPSEA Mwenge wa Kiswahili Grade 4, 5 & 6

KSh 850.00
0 reviews
26 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
05 - 07 Mar, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

KPSEA Mwenge wa Kiswahili – Kitabu cha Marudio ni kitabu kilichoundwa kwa wanafunzi wa Gredi 4–6 kusoma na kujitathmini kwa ajili ya Tathmini ya Mwisho ya Gredi ya Sita (KPSEA). Kitabu hiki kinawasaidia wanafunzi kuelewa mada, stadi za lugha, na matokeo yanayotarajiwa kwa njia rahisi inayowawezesha kushughulikia mazoezi ya ujifunzaji peke yao au kwa mwongozo wa mwalimu.

Upekee wa kitabu hiki ni katika uwezo wake wa kugawanya mada kubwa na ndogo, kutoa shughuli za kujifunza na kujitathmini, na kuandaa mwanafunzi si tu kwa tathmini za kila siku, bali pia kwa mitihani rasmi ya KPSEA. Tathmini zilizotolewa zinahusisha masuala ya kila siku ya Kiswahili, huku zikiimarisha stadi za karne ya 21 na umilisi wa kimsingi kama uwazaji wa kina, utatuzi wa matatizo, mawasiliano, uraia, na kujiamini.

Waandishi ni walimu wenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji na tathmini ya lugha, hususan Kiswahili, na wanahakikisha kwamba mwanafunzi anapata mwongozo thabiti na wa vitendo katika kujifunza na kujiandaa kwa KPSEA.

Key Facts & Features:

  • Kinasaidia wajifunzaji wa Gredi 4–6 kujiandaa kwa KPSEA.

  • Kina mazoezi yaliyo yaliyopangwa kufuatana na silabasi ya Kiswahili.

  • Kina shughuli za kujitathmini ili wanafunzi wajievaluate wenyewe.

  • Kina stadi za karne ya 21: uwazaji wa kina, utatuzi wa matatizo, mawasiliano, uraia, na kujiamini.

  • Kina mwongozo thabiti kwa walimu na wanafunzi katika maandalizi ya ujifunzaji na mitihani.

Tengeneza msingi imara wa Kiswahili na ujitayarishe kwa KPSEA — nunua nakala yako ya KPSEA Mwenge wa Kiswahili Grade 4‑6 kutoka Riki Bookshop leo!

ISBN: 9789914410617

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare