Oxford Kiswahili Dadisi Grade 3 (Rationalised)

Description
Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3Â ni msururu wa vitabu ulioandikwa kwa utaalamu na upekee mkubwa ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Kitabu hiki vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na Sarufi, na kuwa na mazoezi murua ambayo yatampa hamu ya kujifunza.
Vipengele Muhimu vya Ujifunzaji:
-
Mtaala wa Umilisi:Â Kimeandaliwa kwa ustadi kufuatana na mahitaji ya mtalaa wa umilisi, kikiwapa wanafunzi fursa ya kujenga ujuzi wa lugha na maadili muhimu.
-
Stadi za Lugha:Â Kinashughulikia kikamilifu stadi za kusikiliza na kuzungumza, kusoma, kuandika na sarufi kwa mbinu inayowafanya wanafunzi washiriki kikamilifu.
-
Mazoezi Murua:Â Kina mazoezi murua na ya kuvutia yanayowahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na kushiriki katika shughuli za kijamii.
-
Mifano Halisi:Â Hutumia mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika, kukuza uelewa wa vitendo na matumizi ya lugha katika maisha ya kila siku.
-
Tathmini ya Kibinafsi:Â Kina mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini na kufuatilia maendeleo yake katika ujifunzaji wa lugha.
Kitabu hiki kina Mwongozo wa Mwalimu unao mazoezi na maelekezo tosha, na ni nyenzo bora ya kukuza umilisi na kufanikisha ujifunzaji wa Kiswahili kwa wanafunzi wa Gredi ya 3.
ISBN:Â 9789914444261











