Oxford Kiswahili Dadisi Workbook Grade 2 – 2024 Edition

KSh 533.00
0 reviews
21 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
12 - 14 Mar, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Oxford Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 2 (Rationalised) ni sehemu ya mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi kwa Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa utafiti wa kina na ustadi ili kusaidia mwanafunzi kujenga umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili, na mitazamo bora maishani. Kina mwelekeo wa wazi wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia rahisi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtaala.

  • Kina mazoezi mengi ya kielimu yanayochangamsha na kumsaidia mwanafunzi kupanua umilisi katika kila mada kuu.

  • Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kutumia kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

Author: Jackline Ndege, Pauline Kea, Evans Osoro | ISBN: 9789914447156 

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare