Oxford Kiswahili Dadisi Workbook GD3 2024 Edition

KSh 585.00
0 reviews
26 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
07 - 09 Apr, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Oxford Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3 2024 Edition ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi yaliyoandaliwa kulingana na Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na mitazamo bora maishani.

Vipengele Muhimu:

  • Mtaala wa Kiumilisi: Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa, kikihakikisha kinakidhi mahitaji yote ya mtaala mpya.

  • Mazoezi Ya KuChangamsha: Kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.

  • Tathmini ya Mwisho: Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

  • Majibu ya Mtandaoni: Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.

  • Ujuzi wa Msingi: Kinasaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.

Kitabu hiki kinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka kwa wanafunzi wa Gredi ya 3.

ISBN: 9789914447163

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare