Oxford Kiswahili Fasaha Grade 9 (Rationalised)

Description
Oxford Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 9 ni msururu wa kipekee ulioandikwa kwa kina na ubunifu ili kukidhi kikamilifu mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata umilisi, maadili, na masuala mtambuko kupitia shughuli anuwai zenye kusisimua na kuwahusisha kikamilifu katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili.
Vipengele na Sifa Mkuu:
-
Stadi Nne za Lugha: Kinashughulikia kikamilifu stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma, na Kuandika, pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha.
-
Sehemu za Zinduo: Zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika, huku Michoro ya rangi ikichangia uelewa bora wa mada.
-
Elimujamii na Dijitika: Inampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na kutumia vifaa vya kidijitali kufanya mazoezi.
-
Tathmini Binafsi na Tafakari: Kina tathmini binafsi baada ya kila mada kuu na sehemu ya tafakari mwishoni mwa suala kuu, zinalenga kumtathmini na kumhamasisha mwanafunzi kutumia aliyojifunza.
-
Mwongozo wa Mwalimu: Kinaambatana na Mwongozo wa Mwalimu unaosaidia kwa maelekezo ya ziada kwa mwalimu.
Fursa hii ya kumwezesha mwanafunzi wako kufaulu Kiswahili usiikose. Nunua kitabu hiki bora kutoka Riki Bookshop leo na ujue tofauti!
ISBN: 9789914442953













