Soko Mjinga na Hadithi Nyingine 4c (Queenex)

Description
Soko Mjinga na Hadithi Nyingine Gredi 4C
Queenex Hadithi za Ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Nne na kimejumusha hadithi za kusisimua, picha za kuvuta na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
- Afya Bora.
- Kukabiliana na Uhalifu.
- Mapato.
Other Books in the Series:
- Shujaa Meta na Hadithi Nyingine.
- Bendera Bandia na Hadithi Nyingine.
- Soko Mjinga na Hadithi Nyingine.
ISBN: 978-9964-131364













