Storymoja Smart Beginners Cheche Kiswahili GD2 (Rationalised)

KSh 549.00
0 reviews
26 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
03 - 05 Mar, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Smart Beginners Cheche za Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi ya 2 imeandikwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi (CBC) ili kumsaidia mwanafunzi kutekeleza shughuli za ujifunzaji kwa urahisi. Kitabu hiki kinakuza umilisi wa stadi mbalimbali, kikijumuisha kusoma, kuandika, kuzungumza na kuelewa Kiswahili.

Sifa kuu:

  • Kinashughulikia vipengele vyote vya mtaala wa Kiswahili Gredi 2.

  • Picha na michoro angavu kusaidia kuelewa dhana.

  • Shughuli tagusani za ujifunzaji wa vitendo.

  • Uhusishaji wa shughuli za kijamii na TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).

  • Ushirikishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalum.

  • Ujumuishaji wa masuala mtambuko.

  • Waandishi ni walimu wenye uzoefu.

  • Inakuja na Mwongozo wa Mwalimu wa kina.

ISBN: 9789914467000

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare