Distinction Kipeo Cha Kiswahili GD4 (Rationalised)

KSh 719.00
0 reviews
20 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
28 - 30 Apr, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Distinction Kipeo cha Kiswahili Gredi ya 4 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa. Kitabu hiki kinatokana na mabadiliko katika mfumo wa elimu na kinamwezesha mwanafunzi kujifunza kunga za Kiswahili na kuitumia lugha kama wenzo wa ujifunzaji.

Vipengele Muhimu:

  • Ujifunzaji wa Lugha Tumizi: Kumwezesha mwanafunzi kusikiliza kwa makini na kuitikia kwa Kiswahili katika miktadha mbalimbali ya mawasiliano.

  • Uwasilishaji wa Ubunifu: Kumwezesha kuzingatia kanuni za lugha kuwasiliana kiubunifu kwa njia ya mazungumzo na maandishi.

  • Ufasaha wa Lugha: Kumwezesha kujieleza kwa ufasaha katika miktadha mbalimbali na kusoma kwa ufasaha na kufahamu matini mbalimbali.

  • Matumizi ya Kidijitali: Kumwezesha kutumia hati za kimaandishi na mfumo wa kidijitali kuwasiliana ipasavyo katika miktadha mbalimbali.

  • Matumizi ya Kimataifa: Kumwezesha kuchangamkia matumizi ya Kiswahili kama lugha rasmi na ya taifa katika mawasiliano ya kila siku.

Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa mwanafunzi ye yote anayelenga kujenga umahiri wa lugha ya Kiswahili katika Gredi ya Nne.

ISBN: 9789914470666

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare