Oxford Kiswahili Dadisi Grade 4 (Rationalised)

KSh 707.00
0 reviews
24 people are viewing this right now
Estimated Delivery:
28 - 30 May, 2026
lipa-na-mpesa
Guaranteed safe & secure checkout

Description

Oxford Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 4 ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi.

Vipengele Muhimu:

  • Mtaala wa Kiumilisi: Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa Mtaala wa Kiumilisi kwa ufanisi na usahihi.

  • Mifano Halisi: Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika katika maisha ya kila siku.

  • Mazoezi ya Hamasa: Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na kuwashirikisha katika shughuli za kijamii.

  • Ushiriki wa Moja kwa Moja: Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja na kumpa fursa ya kujitathmini.

  • Mwongozo wa Mwalimu: Kina Mwongozo wa Mwalimu unao mazoezi na maelekezo tosha ya kumwongoza mwanafunzi kufaulu.

Kitabu hiki kinakuza umilisi, maadili na masuala mtambuko kwa njia ya kuvutia na ya kushirikisha.

ISBN: 9789914444285

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • Sold
  • Shipping
Click outside to hide the comparison bar
Compare