Storymoja Smart Beginners Cheche Kiswahili GD2 (Rationalised)

Description
Smart Beginners Cheche za Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi ya 2 imeandikwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi (CBC) ili kumsaidia mwanafunzi kutekeleza shughuli za ujifunzaji kwa urahisi. Kitabu hiki kinakuza umilisi wa stadi mbalimbali, kikijumuisha kusoma, kuandika, kuzungumza na kuelewa Kiswahili.
Sifa kuu:
-
Kinashughulikia vipengele vyote vya mtaala wa Kiswahili Gredi 2.
-
Picha na michoro angavu kusaidia kuelewa dhana.
-
Shughuli tagusani za ujifunzaji wa vitendo.
-
Uhusishaji wa shughuli za kijamii na TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).
-
Ushirikishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
-
Ujumuishaji wa masuala mtambuko.
-
Waandishi ni walimu wenye uzoefu.
-
Inakuja na Mwongozo wa Mwalimu wa kina.
ISBN: 9789914467000











